Mimi ni mwanabiashara mdogo wa kusupply breads na pia cakes na kdf kwa mashop i dont think ni biz mbaya msee anaeza servive nayo