
Mimi ni mzee wa kuuza kwa kibanda na niko na Mpesa. Venye price ya mafuta ili-increase pia price ya basic needs ili increase. Hiyo price imefanya sales zangu kureduce since kama customer alikuwa anabuy nyanya ya 50bob Sasa anabuy ya 20 ama 30 bob. Hiyo inafanya nipate loss
0
0
0