mimi ni nancy, Mama mboga hapa juja, hali haijakuwa sawa tangu janga la Corona kuingia, stock imepungua sana Saša ningependa kuomba usaidizi kwenu kuinua biashara yangu tena, nitashukuru sana