Mimi nikipata hiyo 3k ,naeza Fanya shopping nitembelee watoto Kwa orphanage,,tukule pamoja tusherehekee pamoja pia wao wafeel appreciated kwa society...