
Mimi nikiwa #brandambassadorchallenge wa mesh mtaani nitashow mayouth importance ya mesh na vile imenijenga personally especially Kwa biz na ideas. Imenichanua Sana. Pic ya biz yangu hio hapo, inaitwa Half Landon Stores aka duka la Mia Tano. Hapo Kila kitu me huuza 500. Na nimegrow Niko Hadi sacco juu ya mesh.
0
0
0