Mimi niko Endebess, TransNzoia County. Niko na experience poa ya Computer services na pia kufunza basic packages. Ndoto yangu ni kukuza bizna iwe kubwa niwe na devices za kutosha kufungua a small college, ju kwa sasa I only have two computers.
0