Mimi Niko na bizz ya kinyozi hii biz yangu nimeianzatu juzi na nilianza na 3500 but saii naona inashika but what I lack is capital nikiweza pata capital hapa Mesh biz itakua sawa