Mimi nilianza 2023 nikiwa down mbaya but as of the end of march naeza sema nimepull steps kiasi. As of January nilikua na 500 mbele nyuma but sikufa moyo , nilianza kuhawk kahawa around CBD na flask nililease na deni.Thru' Feb hadi March nimeshinda nikifanya hiyo biz until this month nimeweza kufungua kibanda yangu ya groceries huku Wendani. So with this three months naeza sema nime-achieve kustep up kiasi and am proud .
0
0
0