
mimi nimeajiriwa kuuza kwa kipanda ya mtu. And nimeuza for a while now and napata riziki ya kila siku na pia namake some savings. nikiwa na 15k infact i can be able to open my kipanda immeadiately since niko na skills za kuhundle na kuserve customers well. with 15k first nalipia license kwa kanjo. kisha nabuy stock so that i can sell freely bila ya kusumbuana na kanjo.
0
0
0