
Mimi nimeandika kitabu kinaitwa "Run your Race & Stick to your lane". Most of us vijana we are just running the race of life but we do not know which race tunafaa tukimbilie na ndio maana vijana wengi tunashikwa na peer pressure. We start comparing ourselves with others na tukishindwa, tunashikwa na depression na inatuua. Running your race inamaanisha ujue passion yako ni gani na talent yako ni gani na ndio uzitumie vizuri kufanikisha purpose yako kwa hii maisha so that you will live a fulfilled life. To learn more, pata hiki kitabu na kitakusaidia sana. To order, piga simu kwa 0728312536.

0
0
0