
Mimi nimekua nikijiuliza, kurecord song moja kwa studio ni how much? @[Kivaya Josiah] unajua hii maneno ya music production, upcoming musicians wajipange na how much ukiestimate? My pal Dante has a great passion for music and he knows how to play the guitar well, shida ni hana kakitu, hes contemplating kuenda pale archives na guitar yake apigie watu muziki wakimchangia apate za studio.

0
0
0