
Mimi nimemanage kusave for the basics kwa kuweka pesa pahali fulani and only get the amount I set back every 10 days. So each time nimepata pesa, narusha huko and get it back in portions I have set. For instance nikipata 10000 ya chakula, nasave huko alafu naset 2000 every 10 days. Has helped me save alot!!
0
0
0