Mimi nimetoka Coast na nime hustle sana kufika pahali Niko. Sahii Niko na Biz ya kuendesha Uber na in the next two years nataka kua na Uber Tatu in total, with hard work, we shall make it Inshallah!