Mimi nimwibaji wa gospel nawakati corona ilikuja, nilieka kashop tu nikuwe napata pesa ya kunisaidia,cz akuna maali unaeza enda kuiba .mikutano ilifungwa yote.alafu aka kashop nilieka akuna costumers,c nlipata idea imgine yakushona mats za nyumba,niliangalia video kwa you tube nikaona naeza shonq
0
0
0