
Mimi nitamuadvise to Find a way to flavor them and package them in a tidy and distinct manner, apeane free samples wasee wakipitia kwa stall yake, atafute msee atamsaidia kuingia kwa maofisi kadhaa, people like snacking hata wakiwa job alafu awatembelee once a week na apeane value poa(kuensure biz Iko busy pia weekdays. Atafute flavor options kadhaa na ajue storage yake and how long they last. Anafaa ajue kujibrand na aziuze pia kwa social media kujenga credibility yake na a request mafans wake wampee free reviews kwa channels zake. Target wamama ndio wapelekee watoto wao, once they are hooked atakua hata party favorite atakua tu ana deliver. Consistency is key Aki deliver vifiti hata customers hawatakua wakikataa kuzichukua. #MESHChallenge.