Mimi niutaka sana nikue na job yangu shida ni ati sinanga any other idea apart from kuuza diapers juu nishai fungua shop ya kuuza diapers and within one week ilkua ishapick shida I don't know how to manage it even if haina profit kubwa so what am asking from you guys nivile mtu hua anamanage business yake ama if you have any other idea ya kuanzisha biashara please share juu kuna mtu mwingine maybe anaeza kia na shida kaa yangu na anaeza saidikia hapa...
0
0
0