
Mimi pale mtaani naeza Jenga mesh kwa kupromote Hawa mayouths wanafanya hizi small businesses kama kuuza smokies na kuwajenga na advice ya kubroaden biz zao na pia naeza jitolea kuprint manguo ziko na logo ya mesh life niwapatie for biZ hii watakuwa wamejijenga ki biz na pia watakuwa wamejenga mesh family.
0
0
0