
Mimi saa hii nko na limit ya 10k eneza loan. Nimeichukua 4 times na imezidi kuniinia sana kibiashara. Alafu hiyo repayment option ya weekly si inaokoa sana jameni. Unalipa polepole unajipata umemaliza. Ikifika hapo kwa grace period si ENEZA wako sawa , just imagine usipopata pesa kwa wakati ufaao bado unaezaomba afueni ya wiki. Manze ENEZA inainua MESHers .
#Tujengane #ENEZA_ni_mambo_yote
0
0
0