Mimi shamba yangu ilitake time sana kabla nione kama inaweza kumale profit. Wasee wako agribiz, ni nini umeweka ikakuletea doh vipoa? Ningependa kujua what else naweza supplement kwa product zangu. Hizi ni pumpkins kutoka kwa shamba yangu.

0