
Mimi siko kwa business field sahii juu ya masomo...Corona imetuweza saanaa especially kama mimi nimekua among wale watu hawaezi soma online classes juu ya bundles, WIFI and all...Si rahisi kukeep up na hao wengine na considering hizo lectures hazitarudiwa 😔😔
Pia namiss Juja😂ðŸ¤ðŸ¤,who doesn't??
0
0
0