Mimi sionangi umuhimu wa chama. Unapata uko kwa chama unateseka kulipa so unakopa hata ukipewa pesa inaishia kwa madeni. How about you guys