#miminihustler; Kwa majina Ni Josee ama Rona Kama wanavyonijua mtaani.. nafanya hustle ya Nail art, dreadlocks na hairdressing along Thika Rd (Githu). Napenda sana hii hustle coz Ni ART na napenda art....art is always Beautiful and enjoyable thing kwa wale wanaelewa... napenda hii hustle coz wasee wengi mtaani hunishoo nafanya vitu hawajaona before (azin creativity iko juu) enyewe ata Mimi mwenyewe hufanya vitu najistuka attyms,hii inanipea morale ya kuifanya zaidi ... Tena napenda hii hustle since vijanaa wengi wamekam through wafunzwe na so far nimetrain 38 of them ambao wamenawiri kabisa kupitia haya mafunzo 💪🏽.......
0
0
0