
MIND BLOWN
The feeling ni awesome. Reading through hizo business ideas zenye most ni out of the box thoughts, imeleta hio sense ya comunity na vile kila Mesher ana pull kwa same direction ya #Tujijenge. Am sure kwa table ya judges haitakuwa easy kuget winners juu like 80% ya ideas ni original and well thought. From yule msee anadai ku deliver contraceptives kwa mastude, restock na CBC accessories, Bicycle Hire,Thrift mtush for resale, Event Management, unique modes za AgriFarming, kusiaga and deliver unga kwa mastude, Targeted drips/clads, Designers, Khaki bags, Daycare, Music Redistribution Zones, Hospitality & food delicacies and more. With detailed explanation ya jinsi ya ku run hizi biz am certain the sense of community ya #Tujijenge inakuwa amplified kwa kila mesher juu through hii sote tumelearn something new.
Kucheck hizo ideas imenipea hio spirit ya kushare yenye hii community yetu imekuwa build on. Not only are most of those ideas reasonable but pia ni workable juu ya vile details Meshers wamekuwa. I hope the main aim ya kujijenga and not just winning itatupea psych ya kuendelea kushare as community yetu tunaendelea ku grow. Overwhelmed saaana. Looking forward kuona hii ikiwa frequent juu #SisiNiMesh.