
MINDSET FIXED ama GROWTH Approach kwa life na mwanzo Biz, ukuwa na two types of mindset. Kuna wale ukuwa na ile Fixed na wale wa Growth Mindset. Msee mwenye ukuwa na Growth mindset uona kama, intelligence, uwezo na talents nikitu msee anaeza learn. While wenye wako na Fixed ufikiria kuwa hizo skills mtu uzaliwa nazo. Kwa msee ako kwa biz anafaa ku adopt growth mindset, juu niko na testimony ya skills zenye mimi mwenyewe sikuwa nazo but nili learn and nikazi apply kwa biz. Mimi uziita ku'venture out of comfort zone. Kama mwenye bizna unafaa ujue skills basic kama record keeping, kuunda budget, kutengeza reports za biz, ma KRA returns, hizi ni skill unaeza jifunza and sio kutegemea msee. So we approach yako iko aje kuhusu mindset?

0
0
0