
Mine leo actually ni kujengana advice this grt sunday morning....if uko kwa biz n unadai kumake it at the end of the day, kuna vitu kadha unafaa kujua. First cheki biz yako, angalia location n jua target customers wako n kina nani. Ukiwa na target customers itakusaidia kujua unafaa kuopen time gani, wao ukua available wat time na busy times zako ni gani n pia the amount of stock n effort u need to put kwa iyo biz. Then the other thing ni u do a market research ujue utakua unaget product zako wapi atleast at an affordable price. Then kam up wit a speculation ya profit unafaa kuget at the end of the day na pia usisahau kupiga calculation zako za the day ndo ujue umespend how much, uliuza how much na ukona how much after all that spending. Business is all abt profit so make sua u make something at the end of the day. N msisahau biz n customers n kuretain na kumaintain customers u need kukua na the best communication na customer service n trust me utagrow in business. Have a luvly sunday kila mtu