šø Mistake kubwa naona kwa biashara nyingi?
Cash flow blindness. š
Sales zinaingia.
Lakini pesa haikai.
Mara nyingi ni juu:
š Pesa ya biashara na ya kwako imechanganyika.
š Wateja bado hawajalipa.
š Hujui pesa inaenda wapi.
Unaona balance unadhani uko sawa...
Mpaka rent, suppliers na KRA wafike siku moja. š
Cash flow si kujua pesa iko kwa account.
Ni kujua pesa itaweza kufanya kazi yake.
0
0
0