
Mistake kubwa nishai fanya buana nikiwa Job huko makueni ni kukosa kurecord performance ya shop. Nlikuja kulearn late ati msee anafaa kuandika asubuhi na jioni venye shop inaperfom ndio ajue ni stuff zipi zinaenda zana na zipi haziendi sana. Anyways sitaexplain sana acha Joyce afanye hio explaining in a better way
https://meshlife.page.link/...

0
0
0