
Mitumba is one of the best business we have in the market. Lakini ukitaka iwe nzuri kwako you must do your research well. In mitumba clothes uwezi kosa kitu cha kuuza. Kabla haujaamua ni kitu gani au ni type hipi ya nguo utaanza kuuza. Kwanza tembea na hawa wenye wanauza wakupe ushauri. Katika mitumba clothes tuko na: -bale -camera -fagia Elewa hizi vitu tatu. Katika kifurushi (bale) ndani kuna:
1st camera 2nd camera na Fagia.
Mfano bale ya sketi ni 15k for 200 pieces. Uwezi uza 150 per piece. Hii siyo cosmetics au or cooking oil. Kwangu mimi ningekushauri uanze na camera. Uende uchague camera. Ukitaka kuuza varieties ni bora uanze na camera. Unajichagulia zile nguo poa poa halafu uuzie wateja wako. Baada ya mwaka moja utapata umekuwa gwiji. Unapoelewa kila kitu hapo basi itakuwa rahisi ku order mzigo kutoka Nairobi ukiwa kwa County yako. Try to mix pia Jaribu kuongeza hizi bidhaa za urembo. Kuna baadhi ya nguo zinaendana pamoja. Ladies mnaelewa hii stori kuniliko. Earrings Bangles Necklace Cutex Bracelets Hair accessories.
Great MeshingDay #Tujijenge
