Mkianza biz kama group ni wise kuinvolve a lawyer. Written agreement itasaidia kuwork smoothly. Akuna “ubrathe” kwa biz.