
Mkicheki profile yangu vizuri alafu mscroll through mtaona vile mi hufanya kazi poa za salon. Vitu sijai post bi nikitengeneza makucha(pedicure, manicure, and all nails), nikifanya facial, na services za kuosha wigs and others but mi hufanya job fiti sana. Wenye mko Umoja 1 na wale mnaeza fika salon mkuje niwafanyie services fiti ajab. Number ya kupiga ni 0790686302❤️❤️. Karibuni sana🥰
0
0
0