Mm nadai kuinua biz yangu ya viatu za watoi kutoka Corona iyanze imeniafect vinoma biz iko chini coz mm ni young mother so imekua ngumu bt nkipater support ntafurahia pia