Mm naitwa Davis mwanga na natoka upande wa nandi hills na mm nina talanta ya uimbaji but nmekosa tu support nimerecord wimbo moja bt nina zaidi ambayo sijapata fedha ya kujimudu ili nirecord na pia mm n mwanafunzi wa kidato cha nne bt nashukuru mungu atanijalia siku moja
0
0
0