Mm nawakilisha Langata/Kibera area na niko na kabiz yangu ndogo ya kuuza bidhaa kama hizi roycos na sunlight but nauza online customer akiweka order nabonga na yy ndio anipee location yake ndio nifanye deliver.
0