Mmecheki hii story ya Sammy Kioko – amefunga biz yake yenye aliinvest doo mob sana. Inasemekana Kioko alipata tender ya Machakos County, akasupply kila kitu venye ilitakiwa. Lakini niwasee wa county wamedelay kulipa hadi siku zikapita mob.
myouth wetu alilala nje ya ofisi ya Governor wa Machakos akitaka kuonana na yeye, but wapi – haikumwork. 💔
How can you handle this situation?
0
0
0