
Mnakaa hivi mnaskia nyumba ilichomeka na uko, reason? Stima. Either Misuse ama faults. Now to my point, here are some few guidelines I have researched and combined for you meshers msijipate in such a situation where stima inaharibu your appliances or ata burning down your house:
- Usikue unaoverload sockets zako. Kwanza ukiskia nikama zinatoa sauti, ama ziko na burn marks, ama zinatoa sparkles hapo jua you courting danger.
- Don't always try to do DIY work home, unless you have the expertise, if not we tafuta mtu wa stima
- Atleast 10 years kua unatafuta mtu wa stima anakuja kucheck if everything is still on check

0
0
0