
Mnataka kukua models? Ushai jua kuna different types of modeling? Wacha nishow warembo and you gents types of modeling ndio mkianza your journey mkue mnajua what you want specifically. 💃. Fashion models - Hawa hukua kwa fashion magazines na mostly huwork for top designers. 💃Runway models - hawa hucatwalk na madesigner clothes kwa events. 💃.Fitness models- Hawa hukua sana sana kuadvertise fitness mwili 💃. Promotional models- hawa kazi yao hukua ku advertise products kaa lotion etc. Lakini nayo vitu kaa Height, Skin type, body weight ni important sana na zinaeza kuchuja if hujameet requirements.
Model: @Immaculate Muthike




0
0
0