Mobile loans hukua noma, especially kama umechukua loan kujibamba instead of investing hiyo doh. Kila time kabla nichukue loan, lazima nikue na plan ya kulipa Kwanza. #BizLoans