Mobilizers:
Huku mtaani kila mtu anakuwanga na kazi yake.Kuna ma-broker, kuna wazee wa nyumba kumi, kuna ma-CHP( Community health promoters), kila mmoja na umuhimu wake.
Then kuna Mobilizers , hawa hutambulika kwa shughuli zinazohitaji mbogi. At the press of a phone button, wanaweza kumobilize kikundi ya mtu 500 ifike kwa venue fulani. Ni watu influential na wanatambulika kwa community.
Hulipwa vizuri sana esp. wakati wa Siasa, Public Participation Forums, Chief's barazas, trainings, campaigns za Human Rights, etc. Hao ndio huwa frontline...
Je, uko na usemi wowote katika jamii yako?
0
0
0