
š¤ moment of relief š°šŖš„
High court ime_declare housing levy kuwa unconstitutional, na inablock gava kucollect iyo dooh , na pia ilikuwa unfair juu Wasee employed pekee ndio walikuwa wanalipa iyo tax , wasee wa informal sector hawa kuwa included š¤.
š” Atleast hii inaeza saindia kureduce tax burden kiasi, but do you guys really think gov't ita_let go ama watacome na njia mpya ya ku_impose iyo tax ? š¤š

0
0
0