
MONDAY DISCUSSION... MANCHESTER UNITED last season walishindwa kupiga team zote za Big Four na zenye zilimaliza top ten away from home walipigwa Tisa na waka draw moja against Tottenham. This season the same ina happen tena wamepigwa na SPURS And Arsenal. So mnaona Shida za last season zitajirudia ama vipi??? Na Shida ni nn????
#MESHERS #FOOTBALLERS


0
0
0