Money huongezeka kwa wasee wanajua kuimanage. Si juu ya luck—ni juu ya intention na planning.
Hawaruhusu impulse iwashinde. Hawamake decisions juu ya feelings pekee.
Wanajijenga na discipline, systems, na habits zinacreate wealth long before watu wa mtaa waone results.
Play the long game, bro/sis — ndiyo hu-pay the most.
Never settle. Keep leveling up. 🚀
0
0
0