More than kuuza physically kwa mall, Sam anaweza introduce delivery services for customers wenye hawafeel kufika mall; pia anaweza make an online platform kama WhatsApp group mahali customers wanaweza m_access na pia place orders. Last of all Sam akuwe trustworthy na customers wake na awatreat poa
0
0
0