
Morning guys. Hope mko fiti na hustles zenu ziko poa. Mshawaifikiria how sisi ndio the new upcoming generation yenye itainua hii nchi yetu? The revolution starts here MESHers. Tutasema years to come that it's the youth from mesh who drove business na ikainua economy ya nchi yetu. Tusichukulie hii community yetu as a joke wasee. Hapa ndio kila kitu inaanzia. Hapa ndio tutasema ilifanya youths waomoke. Hapa ndio tutakuja kusema tulichangamsha mayouths wenye hawako mesh na tukamobilize change kwa community. Let's invite family and friends wajoin mesh tuinua hii nchi. Tujoin hizi groups zetu za mesh tukishare ideas za kujengana. Mimi niko tayari kujitolea kusaidia mayouths. #Revolution #Change #MESH #CommunityChangeMakers
0
0
0