Morning mehsers ni factors gani hufanya hustle nyingi kuanguka uku mtaani coz naona watu wengi wanagive up na hustle but ukiuliza msee hapeani legit reasons ebu tuchanuane tuepuke hizi challenges mapema
0