Morning Mesh, iko hivi mesh wa ICT mnichanue ni vipi naeza fanya biz ya kueka Wi-Fi ndani ya Rentals na pros & cons za hiyo biz... Challenges major ni kaa gani??