
Morning my beautiful people ? Mungu ni Mkubwa na Anasaidia sana, ila kabla siku iishe ningependa Ku motivate ma Youth na hizo challenge huwa on Mesh, wanangu ni freshi tukiwa makini nazo na tuwe participants on them mwanzo zina jenga sana.
Already am sure you've gotten your Challenge sent to you, tumakinikie na tufanye.
Shukran Wangwana
0
0
0