Morning, nko na boy nilikuwa naishi na yy hadi akamda high school 2017, sa the problem ni kuwa alianza kuvuta bangi Hadi sasa imemwonyesha atoke home anaishi kwa street. Sa nilikuwa nauliza ni wapi naweza mpeleka kwenye hamtapata hizo madawa na kwenye nitasaidiwa coz Sina uwezo wa kumlipia?
0
0
0