Morning wasee naitwa calvin na nimekuwa hustling yangu ya kutembeza eggs manze huku ruiru for almost one year sasa.oflate hustling imekuwa low na pia mayai ndio hii inapanda bei so mimi nahitaji kahelp kadogo yani itanisaidia Sana niendeleze hii hustle yangu thanks
0
0
0