
Morning wazito...kukua na logo is one vital part ya biz yako ju logo inafaa kusaidia kutell story ya brand yako/ biz yako...though logo on its own haiwezi make sense na brand pia bila visual presentation ni kama food haina salt.... Hapa Etindi Graphics tunaensure marketing yako iko visible in each amd every step.... Tutakuguide vile biz yako inaeza kua represented visually na ikue unique.... Samples za logo tumetengeneza ziko attached... Feel free kuuliza swali yoyote about a brand and how a graphic designer is a vital entity kwa kubuild brand yako.... Asanteni sana




0
0
0