Most of us tunaanzia kwa small markets. Vibanda, stalls, maduka za mtaa, kama shop ya sandals na doll shoes. Lakini ukichanganya hizi spaces na a community kama MESH, mambo hua different. MESH inaunganisha hizi small markets na knowledge, people na opportunities zenye zinasaidia biashara ikue beyond corner ya stage.
Key ways MESH supports small market enterprises:
- Inasaidia shop and stall owners kuconnect na real customers, suppliers na other hustlers.
- Unapata true stories za MESHers wengine, unaiba lessons bila kufanya makosa zile walifanya.
- Kuna access ya information kuhusu loans, gigs na digital tools za kukuza biashara.
- Unaweza advertise biz yako free kwa community kubwa na kupata feedback haraka.
- Unajenga jina kama trusted business person kwa kujibu maswali na kushare experience yako.
Wewe kama MESHer wa small market, MESH imekusaidia aje kwa biashara yako
Ni kitu gani moja umelearn kutoka kwa MESH community yenye imechange vile una run biz yako
Drop experience yako hapa chini, tupate kujifunza kutoka kwa stories za each other.
0
0
0